MSAADA: Nahisi natapeliwa

MSAADA: Nahisi natapeliwa

single father

Member
Joined
Oct 22, 2019
Posts
76
Reaction score
117
Kuna hawa jamaa wameibuka sina hakika ni lini wamekuwa wakinishawishi mara kwa mara kwamba naweza piga hela kwa kutumia simu janja yangu yani niki watch YouTube video na ku upload status napata hela sasa bhana nimetuma 50,000 yangu halafu tokea jana nakesha na watch video YouTube lakini sipati hiyo faida

Kwa anaye wajua tafadhali anieleweshe
 
Wajinga waliwao

Wajinga hawaishi

Ova
 
😁😁😁😁😁

Ka report kituo cha police kilicho karibu nawe haraka.
 
Yani simu yako ,Bundle lako video ungalie wewe then ulipww na Fedha?! Duh mambo mengine ngoja mtapeliwe tu had siku mtayoamua kuwa Welevu😃😃😃ongezeko la Thamani hapo liko wapi linalofanya Ulipwe?
 
Aisee wewe risk ili upate faida..

Usisahau ile hela itume kwenye hii namba jina ni Tembo Elephant.
 
Pole mkuu ila unatukosea ungeomba kwanza ushauri ndio tujadiliane
 
Kuna hawa jamaa wameibuka sina hakika ni lini wamekuwa wakinishawishi mara kwa mara kwamba naweza piga hela kwa kutumia simu janja yangu yani niki watch YouTube video na ku upload status napata hela sasa bhana nimetuma 50,000 yangu halafu tokea jana nakesha na watch video YouTube lakini sipati hiyo faida

Kwa anaye wajua tafadhali anieleweshe
Ushapigwa hakuna ela ya hvyo
 
Back
Top Bottom