Kwa mdau anayejua gharama na upatikanaji wa hostel binafsi au hata magheto ya kupanga kwa maeneo yanayozunguka Nit anijuze wakuu kwani niko first year pande hizo.Ahsanteni kwa michango yenu wadau.
hivi tution fee(NIT) kwa kozi za engineering eg mechancal n automobile ni sh ngapi? maana kwenye TCU guidebook wameandika 1.5 million lakini kwenye website ya chuo(fee structure) haifki 1.5 mln ila ukijumlisha na direct cost ndo inafika sh 1.5M.So msaada kwa anayefahamu!
0755 195691 kwa anayetaka hostel NIT,Gharama ni shs 450000 kwj mwaka wa masomo,umeme,maji na choo humohumo,advantage:wanaruhusu kukaa hata kipindi cha likizo yako.
Aidha,kwa chuo hapa wanaruhusu kubadilisha kozi hata kama una mkopo.
hivi tution fee(NIT) kwa kozi za engineering eg mechancal n automobile ni sh ngapi? maana kwenye TCU guidebook wameandika 1.5 million lakini kwenye website ya chuo(fee structure) haifki 1.5 mln ila ukijumlisha na direct cost ndo inafika sh 1.5M.So msaada kwa anayefahamu!
Rosey,hostel ziko karibu sana na chuo pia kuna zingne ziko mbali kidogo ila kwa kuwa hapa D'salaam hakuna umbali wa sehem.
Karibuni sana NIT ni chuo cha pekee na bora Afrika Mashariki kinachotoa kozi ya Transport and Logistics.