Msaada: Nafasi ya kuvolunteer ACB

Msaada: Nafasi ya kuvolunteer ACB

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,757
Habari za majukumu wadau,

Nimepata nafasi ya kuvolunteer Akiba Commercial Bank tawi moja wapo hapa mjini wakati nikisubiri mambo yangu mengine kama yanaweza fanikiwa. Je kuna consideration yoyote kama nauli, pesa ya kula, na permanent employment kwa siku za baadae?

Naomba msaada wenu!
 
da! kaka kwanini usichunguze hapo bank upate ukweli we mtoto wa mjini bana penya zaidi utapata majibu hayo.
 
Mkuu ingiza mguu hapo.. Mengine yatajulikana mbele kwa mbele..
 
Habari za majukumu wadau,

Nimepata nafasi ya kuvolunteer Akiba Commercial Bank tawi moja wapo hapa mjini wakati nikisubiri mambo yangu mengine kama yanaweza fanikiwa. Je kuna consideration yoyote kama nauli, pesa ya kula, na permanent employment kwa siku za baadae?

Naomba msaada wenu!

Nimekushangaa sana bwana mdogo. mimi si HR ila nimeshiriki sana katika uajiri kama senior staff. Mambo haya huwa wazi kwenye contract , kumbuka huwezi enda volunteer pale bila kuwa na mkataba. Wewe cha kufanya rejea mkataba wako na kama utakua na swali waulize HRs wa pale sisi tutajuaje makubaliano yenu? lakini pia kama huna mkataba na hakutakua na mkataba kaka usjiende usije ukaitiwa mwizi
 
asante kwa ushauri na majibu mazuri,ntazingatia hayo,mbarikiwe
 
Habari za majukumu wadau,

Nimepata nafasi ya kuvolunteer Akiba Commercial Bank tawi moja wapo hapa mjini wakati nikisubiri mambo yangu mengine kama yanaweza fanikiwa. Je kuna consideration yoyote kama nauli, pesa ya kula, na permanent employment kwa siku za baadae?

Naomba msaada wenu!

Kuwa makini sana na habari unazokimbiza huku,vipi kama ACB wametoa hiyo nafasi kwa mtu mmoja tu ambaye ni wewe,hauoni kama unajiexpose.

bank kuna very stringent secrecy policies, hawavumulii hata mambo kama haya, na ukibainika tu sahau kufanya kazi bank maisha yako yote.
 
Kwa nini mkuu husiende uanze halafu utapata wadau tu hapo ofisini na watakieleza ABCD za hapo!.
 
Back
Top Bottom