Msaada nafasi ya kufanya field Arusha

Msaada nafasi ya kufanya field Arusha

kifu

Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
11
Reaction score
0
Ndugu zangu Mimi ni kijana ninaesomea human resource management diploma, nilikuwa naomba msaada kwa MTU mwenye kuweza kunisaidia iwe ofisi ya serikali au ofisi binafsi. Field ni ya mwezi mmoja kuanzia mwezi wa NNE (4)
 
Mwanamke unakosa nafasi ya field? au Mgumu kutoa
 
Back
Top Bottom