sirmz ndola
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 273
- 32
Naomba mawasiliano yako mkuu unielekeze kama hutojari thank uInawezekana kabisa nenda kwenye profile yako na kuna button ya add professional area then utaletewa hizo programmes zako.
Asante mkuu naomba namba ya simu unilekeze mh samahani lakini kama una no ya tigo ingekuwa vizuri zaidiInawezekana! Nenda Kwenye Futa Machaguo! Hapo Utaanza Na Upya Utaletewa kozi Zote! Afya! Elimu! Engineering Na Education!!! Hapo Utaweka Koz Zip Ungependa Ziwe First Priority Na Second Na Third! Uta Mark Utabonyeza Continue With Application! Kila Faculty Utachagua Kozi 3!
sasa wadau mdona naona kuna deadline mbili kwenye kada ya afya? maana kuna ile orodha ya vyuo vitakavyo chukua wanafunzi wa afya inasema deadline ni 30/03/2016 but kuna sehemu ingine wameorodhesha deadline za course zote na imeoneshwa afya ni 31/05/2016. naomba mwenye update anisaidie wakuu yani nko online nataka kuaply but napata kigugumizi.