Wa kupuuzwa Member Joined Oct 2, 2020 Posts 94 Reaction score 63 Oct 2, 2020 #1 Habari za wakati huu, Wakati tukisubiri selection za vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo, Nina ambition ya kusoma kozi mbili. Political science and public administration pamoja na bachelor in laws, UDSM, mkiwa kama wajuzi mnanishauri ipi kati ya hizo?
Habari za wakati huu, Wakati tukisubiri selection za vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo, Nina ambition ya kusoma kozi mbili. Political science and public administration pamoja na bachelor in laws, UDSM, mkiwa kama wajuzi mnanishauri ipi kati ya hizo?
Ralphsams JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 347 Reaction score 350 Oct 3, 2020 #4 Ushaaply au bado
Desert Lion Member Joined Sep 8, 2020 Posts 85 Reaction score 67 Oct 3, 2020 #5 Kama umeapply chuo inategemea uliaeka first choice kitu gani but Subir majibu ujue watakupangia koz gani Then uje Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeapply chuo inategemea uliaeka first choice kitu gani but Subir majibu ujue watakupangia koz gani Then uje Sent using Jamii Forums mobile app