Msaada na Ushauri: Nini hatma ya maisha yangu?

Msubili vyuo vikifunguliwa uendee vyuoni vyuo vyote uweunabeba masahani na kufanya kazi katini ..

Utafute hii kazi vyuo vyote kuanzia
Dit
Udsm
CBE
TIA
St Joseph
NIT
Muhimbili
kampla

Naamini utapata hata ya kusafisha meza na kubeba plate kila siku unaondoka na buku kumi au 15

Kazi kwako itabidi ujue binu za kujiconnect kujimarket uliwaweze kukubalini

Best wiahes Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa hatua ya kwanza (kutambua kuwa hauishi kama wewe, umeijua thamani yako). Kama walivyosema wachangiaji hapo chukua hatua ya pili ambayo ni kuanza na vibarua. Utaanza na kazi ya kukupa hela ya kula huku ukipata uzoefu wa elimu kitaa. Mungu akusaidie.
 
Back
Top Bottom