mkuu nokia yangu xl inapata moto sana na charge kuisha hata kama nimewasha lakini siitumii.pia nikiweka charge inachukua mda sana kujaa na inapata moto sana.ushauri plizzzzzWengi tumekuwa tukipata matatizo mbalimbali katika vifaa vyetu vya mawasiliano yanayopelekea kushindwa kuweza kuvitumia. Lakini kwa msaada wa kitaalamu na ushauri kutoka kwa wadau ni rahisi kusolve bila hata ya kuingia gharama. Pata ushauri jinsi ya ku-unlock, flash, restore, pattern issies, perfomance na mengine mengi yanayokusumbua katika simu yako ya android.
mkuu nokia yangu xl inapata moto sana na charge kuisha hata kama nimewasha lakini siitumii.pia nikiweka charge inachukua mda sana kujaa na inapata moto sana.ushauri plizzzzz
Wengi tumekuwa tukipata matatizo mbalimbali katika vifaa vyetu vya mawasiliano yanayopelekea kushindwa kuweza kuvitumia. Lakini kwa msaada wa kitaalamu na ushauri kutoka kwa wadau ni rahisi kusolve bila hata ya kuingia gharama. Pata ushauri jinsi ya ku-unlock, flash, restore, pattern issies, perfomance na mengine mengi yanayokusumbua katika simu yako ya android.
MKUU NIMEIIBWA SAMSUNG GALAXY S4 na nina IMEI number yake,pia GPS ilikua on,nianzie wapi?
Je uliinstall tracking app yoyote au hata android management ktk simu yako mkuu??
mkuu nawezaje kutoa pattern kwenye cm yangu samsung fln hv ya kichina? mimi nilikuwa natoa kwa alama ya L sasa kuna mtu kaichezea hivyo nikifungua kwa kutumia ile alama ya L inakataa
Mkuu Simu yangu in HTC ile ya zamani kidogo ila ni touch screen nimeweka pattern watoto wamechezea hadi imegoma kufungua na mail niliyoingia nayo siikumbuki...msaada wadau
Samsung Galaxy Duos 2 nilitumia vema sasa juzi hapa nili unstall baadhi ya application ikiwa inachaji
shida imekuja sehemu moja zamani nilikuwa nikiichaji betri inafika Asilimia 100.
Lakini sasa hivi inaishia 99% tu na haiwi full
charge
pia ukifanya restart basi 50% ya chaji
shida itakuwa wapi?