Msaada na fursa katika hili

Msaada na fursa katika hili

JaphetJacob

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
106
Reaction score
121
Nimezunguka sana maofisini kutafuta kazi lakini sijapata, mwenye fursa yoyote iwe ya kilimo, ufugaji, ofisi, biashara au chochote anisaidie;

Below are details:

Umri: Miaka 26
Elimu: B. Sc Chemistry and Biology
Masters of Science in Chemistry

Makazi: Kimara, Dar es Salaam

Experience: Research activities based on writting proposal, concept notes, manuscript na proofreading research za wanafunzi

Contact details: 0757595433

Best Regards,
 
Samahani mkuu, wakati unasoma hizo kozi ulilenga kufanya kazi gani ? Ualimu, Mkufunzi au Mtafiti?
 
Masters huwa tunasoma ukiwa na ajira ya kudumu..wewe ulimazizaje undergraduate kisha ukaenda masters bila kuwa na kazi maalum?au ulipata redundancy?
 
Nimezunguka sana maofisini kutafuta kazi lakini sijapata, mwenye fursa yoyote iwe ya kilimo, ufugaji, ofisi, biashara au chochote anisaidie;

Below are details:

Umri: Miaka 26
Elimu: B. Sc Chemistry and Biology
Masters of Science in Chemistry

Makazi: Kimara, Dar es Salaam

Experience: Research activities based on writting proposal, concept notes, manuscript na proofreading research za wanafunzi

Contact details: 0757595433

Best Regards,
Inaonekana ni member mtiifu wa JF umejoin humu ukiwa na 19 years of age (Dec 11, 2015) naamini utapewa ushirikiano
 
Duuh master huna kazi ?

Mzee baba uliiunganisha nini ukajisomesha mwenyewe maana kama ni scholarships lazima kazi iwepo
 
KUHUSU KAZI ZA ACADEMICIAN (Tutorial Assistant na Ass. Lecturer)

Mambo yamebadilika kidogo kwa public universities wanaajiri kwa ule mfumo wa TRANSFER VACANCIES, maana yake inatakiwa uwe tayari mtumishi wa umma somewhere,

Kwa private universities nyingi zilifungiwa zilizokua zinatoa chemistry kipindi flani cha nyuma,

Hapo ndo kuna changamoto
 
Duuh master huna kazi ?

Mzee baba uliiunganisha nini ukajisomesha mwenyewe maana kama ni scholarships lazima kazi iwepo

Kuhusu ada ya masomo nikiwa undergraduate nilikua namake kutafuta fee maana nilikua na mkopo wa serikali na volunteer kadhaa zikaniboost,

Nilipopata admission nilifight idarani kupata research project hivyo research funds ikawa covered (ambayo ni nyingi hela yake) kwa njia hiyo,

Nilikua na prior information kuhusu research funds ndo maana baada ya bachelor niliunga
 
Mungu ni mwema utapata mkuu,twende tukajaribu nafasi za kazi kwenye mradi wa kuchimba mafuta Rukwa ndugu mkemia
 
Mungu ni mwema utapata mkuu,twende tukajaribu nafasi za kazi kwenye mradi wa kuchimba mafuta Rukwa ndugu mkemia
Mafuta rukwa, tupe taarifa kamili. Mi najua Kuna wese na hellium sehemu moja, bado hakuna uhakika Nani apewe
 
Back
Top Bottom