Hilo la kuhusu browser umejaribu kujiunga na bundle za blackberry??
Mkuu, ndio maana hapa hua tunasema unapo taka kununua kitu jaribu kwanza kuonana na wataalamu wa mambo hayo au ingia kwenye mitandao na usome kuusu utendaji kazi wa hicho kifaa unachotaka kukinunua...
Hiyo simu ina technolojia mbili CDMA na GSM, na inaconfiguration za CDMA ndio maana hizo Shot code hazifanyi kazi kwa mtandao wa GSM.
Cha kufanya ni hivi, kama unataka angalia salio piga namba 100 wakati iko hewani bila kukata simu piga *102# utaona salio lako kama kawaida na hivyo hivyo wakati unapotaka kuweka vocha au kujiunga na vifurushi mbali mbali...
Hii simu ukijiunga na bado za BB haitakubali, ila kuna njia za kuweza kutumia net kwa bando za kawaida kabisa na kila kitu kikafanya kazi nione kwa PM mkuu.
Vipi umefanikiwa kwenye kucheck salio na kuweka? Nitakujibu pm yako mkuu na wengine walio ni PM
Uncle Rukus umetishaMkuu, ndio maana hapa hua tunasema unapo taka kununua kitu jaribu kwanza kuonana na wataalamu wa mambo hayo au ingia kwenye mitandao na usome kuusu utendaji kazi wa hicho kifaa unachotaka kukinunua...