Msaada: Mwili unawasha nikipigwa na jua, alama za kuchanjwa mgongoni nikiamka

Doh!haya mambo mengine muwe mnaomba ushauri mchana au hata asubuhi hivi....sasa usiku huu na kuchanjwa mgongoni tena!nimeogopa

Usiku huu itabidi nisali aseee
 
Nina tatizo la kuwashwa haswa nikipigwa na jua na kuamka huku nikiwa Nina Alana za kuchanjwa mgongoni na mgongo kuuma haya matatizo yanatokana na nn??
Kuchanjwa chanjwa usiku ukiwa umelala ni dalili mbaya ya wewe unafuatwa hapo unapo ishi na wachawi wanakuja usiku na wanaingia chumba unacho kaa na kukuchezea kiuchawi na kukutia maradhi ya mgongo .Nitafute mimi nipate kukutibia.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Doh!haya mambo mengine muwe mnaomba ushauri mchana au hata asubuhi hivi....sasa usiku huu na kuchanjwa mgongoni tena!nimeogopa

Usiku huu itabidi nisali aseee
Usiogope elimu ya Giza hiyo Sayansi isiyo julikana na watu wa kawaida.

uchawi.jpg
 
Back
Top Bottom