Kaka iPhone yako nausi sio original natumia iphone 4 hata sijui hilo betri linakaa wapi ichunguze vizuri mkuu na iphone original huwa hazifi kijinga jinga
Hata km orginal inakuwa na betrii za ndani kwa ndani kusema iphone orginal haina betrii sio kweli ila sasa replacement yake mpaka ifunguliwe na watahalam km uko dar pale posta yupo mhindi mmoja anakuuzia na anakuwekea