Msaada: Mwenye uzoefu wa interview pamoja na training TAESA

Msaada: Mwenye uzoefu wa interview pamoja na training TAESA

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,082
Reaction score
1,915
Habari zenu, baada ya kujisajili TAESA wamenitumia ujumbe kwenda kwenye interview pamoja na training.

Naomba kujua je, ni maswali gani yanayoulizwa kwenye interview na je, training yao ikoje, na baada ya interview inachukua muda gani kuitwa kwenye internship?

Asanteni.
 
wewe maswali ya kawaida tu based on your CV, uko tayari kuishi mikoa gani n.k , trainning inakua kuhusu confidence kwenye interview, do's and don't za kwene interview

ukimaliza hapo it may take forever kupata internship au ukapata tu baada ya siku kadhaa
 
Duuh kumbe naweza nisipate internship
 
Back
Top Bottom