Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
Habari zenu wana jukwaa poleni na harakati za mchana kutwa.
Nahitaji kujua namna haya mahindi ya kutengeneza bisi yanavyolimwa.
Hali ya hewa ya eneo, udongo ambao unarutubisha na mengine yote ambayo napaswa kiyazingatia kwenye kilimo hiki.
Na je kwa mikoa ya kusini MTWARA yanaweza kufanya vizuri?
Matanguliza shukurani.