Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar wanathinker nimepiga chini mashine yangu baada ya kuipiga chini haikunidai key mpaka nilipoizima na kuiwasha tena ndo imenidai alafu nimejalibu kuingiza key nilizonazo zimegoma ninaomba mnisaidie UNIVERSAL KEY ZA SERVICE PACK 3
mkuu kama huna cha kuchangia kaa kimya au ww ni mgeni wa hii forum,inaonesha tabia na sura yako vinafanana na hiyo avatar yako.Lione, jizi hilooo...
Kwa nini unapenda shortcuts? Si ununue Genuine?
wewe kweli niLione, jizi hilooo...
Kwa nini unapenda shortcuts? Si ununue Genuine?
Jaribu hizi......Habar wanathinker nimepiga chini mashine yangu baada ya kuipiga chini haikunidai key mpaka nilipoizima na kuiwasha tena ndo imenidai alafu nimejalibu kuingiza key nilizonazo zimegoma ninaomba mnisaidie UNIVERSAL KEY ZA SERVICE PACK 3