Msaada: Mwenye possible za mitihani ya form six NECTA 2016 hasa practical kwa PCB

Msaada: Mwenye possible za mitihani ya form six NECTA 2016 hasa practical kwa PCB

Acha ukilaza wew Siku zote ulikuwa unafanya nini mpaka ukumbuke shuka asubuhi
 
Acheni kumpotosha,wangapi wanakuja uku kuomba muongozo wa Interview questions? mbona mnawapa na wengine wanatumia hadi notes za kusoma? kwanini uyu anaomba possible questions mnamtamkia maneno ya kukatisha tamaa? acheni wivu wa kike msaidie kama una uwezo kama hauna kausha.Mtihani mwema mkuu
Interview na shule ni vtu viwili tofauti
 
Ndipo tulipofika hapa. Mtu anacheat kila hatua,matokeo yake tunalaumu vyuo vinatoa vilaza.
 
nakumbuka 2009 form four walisema pepa la hesabu limevuja tukasovu hilo hilo tu,, naingia kwenye pepa nilipanic kwanza ikabidi nivute utulivu dk 30 nifute majibu yote kichwan nianze upya, hata statistic ya middle frquenc ilitaka kunishinda tokea hapo hta unambiaje situmii huo uchafu wa pepa kuvuja
 
Watu kama hawa ni wa kupuuza
Uzuri ni kuwa wengine hawafaham hata maana ya practical na kwann nasema na shida na possible
By the way tumeshazipata na tunachokwenda kufanya ni kuchukua alama nying zaid
Asante
Ona aibu hata kidogo basi we mtoto, unasoma shule gani?
 
Possible ya practical muhimu acheni ujuaji
Tena hizo shule mnazozisifiaga zina div one tupu ndio watoto wa serekali wanapopataga possible
nakumbuka kuna dogo alikuja kuniomba nimfundishe jinsi ya ku manage mda kweny practical ilikuw pepa ya form four physics siku inayofuata akiwa na maswal
nkamuuliza haya maswali umejuaje yanatoka?
akanijibu tumeambiwa na mtoto wa st xxx amesema ni uhakika wameambiwa na lab technician wao
na mwanafunzi alieongoza physics taifa mwaka ule alitoka hapo st xxx
 
Kama kichwa kinavosema ndugu yenu natafuta .. Mwenye nazo ani pm tuongee
Hata hili ni jibu! wewe wenzako wanasoma sana kuomba Mungu sana! wewe husomi na badala ya kuomba Mungu unaomba possible!!?? !! Soma sana! One minute can change your life!
 
Hata hili ni jibu! wewe wenzako wanasoma sana kuomba Mungu sana! wewe husomi na badala ya kuomba Mungu unaomba possible!!?? !! Soma sana! One minute can change your life!
Tatizo mnakurupuka
Ivi ningekuwa na shida mimi na hizo possible sasa iv si ningekuwa kwenye mitihani
Ningepata wapi muda wa Jf

Kuna dogo langu alikuwa na shida
Anyway kila mtu na uelewa wake
 
Tatizo mnakurupuka
Ivi ningekuwa na shida mimi na hizo possible sasa iv si ningekuwa kwenye mitihani
Ningepata wapi muda wa Jf

Kuna dogo langu alikuwa na shida
Anyway kila mtu na uelewa wake
Hivi nani hana akili? wewe unataka possible au aliekuambia kasome! ni dogo lako sawa! wewe kaka kilaza kweli! Mwambie asome! unamtafutia possible? alikuwa wapi asisome!? Wewe mwenye akili endelea kumwombe possible! mwambie asubiri atapata possible
 
Alishapata Jana toka kwa mwanafunzi wa feza
Leo hii ndo anapiga paper
Tumwombee
 
Hahahaha PCB hawa si wataua wagonjwa hawa
 
Dah haya nayo ni majipu..si vyuoni (full kudesa/kufanyiwa reaserch) na hata sekondari....JPM tumbua hawa watoto....
 
Back
Top Bottom