THL si itaki.Lazima uwe na access ya internet.pia kuna mabo kama hayo ya kulipia.unakuta tatizo linakuwa bhado sijali solveTafuta application inaitwa thl ina kila kitu, ila unailipia
mkuu, tembelea mtandao wa www.shuledirect.co.tz upakue notes unazozihitaji.Ndugu wanajamii forum,naomba msaada kwa mwenye notes za olevel particularly mathematics naomba anitumie kupitia email au hata kwa ku upload hapa hapa ili woote wenye shida kama yangu wazikute apa.
Ahsante ,natanguliza shukran zangu za dhati
thanks mkuu....hiki ndicho nilichokuwa nakitaka ndugu yanguu.....................ahsante sana aiseeee mkuuuumkuu, tembelea mtandao wa www.shuledirect.co.tz upakue notes unazozihitaji.
mkuu atawezaje kupiga maswali bila kusoma notes kwanza?Hesabu inatafutiwa notes...unataka kukalili au...kwani usisome topic then ukapiga maswali ya kutosha...anyway ngoja waje wajuzi zaidi
duuu...ndo najua leo kua hesabu inasoma kwa notes...ila usijali kila mtu na uwezo wakemkuu atawezaje kupiga maswali bila kusoma notes kwanza?
njia raisi ya kusoma,,,,ni kutoka simple kwenda complex..............amini usiamini...............na hiyo link aliyotupia jamaa hapo ni nzuri sana kwa mwanafunzi yeyotee yuleduuu...ndo najua leo kua hesabu inasoma kwa notes...ila usijali kila mtu na uwezo wake
mkuu kwani hesabu huwa haina NOTES? na vitabu vya hesabu vilivyojaa kwenye maktaba za shule ni vya nini sasa?duuu...ndo najua leo kua hesabu inasoma kwa notes...ila usijali kila mtu na uwezo wake
Kula ushibe uje usome comment yangu tena...HUKUNIHELEWAmkuu kwani hesabu huwa haina NOTES? na vitabu vya hesabu vilivyojaa kwenye maktaba za shule ni vya nini sasa?