Msaada: Mwenye namba ya simu ya mh. Peter msigwa (mb-iringa)

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
776
Jamani mwenye namba ya huyo mheshimiwa anitupie hapa haraka
 
Jamani mwenye namba ya huyo mheshimiwa anitupie hapa haraka

unaitaka ya nini? lolote litakalomtokea SITTA utakuwa umehusika moja kwa moja MODs ban haraka sana huyu mtu.
 
kuna watu wanajiita wachungaji kumbe ni wahuni tu!!!!!!!!!!!
 
Sitta kadhihirisha upuuzi wa chama chake
 
kuna watu wanajiita wachungaji kumbe ni wahuni tu!!!!!!!!!!!

mungu atakuadhibu unapomnyooshea mkono Mtumwa wake..mponde yeye kama yeye Msigwa ila Usihusishe na Kazi yake ya Bwana.Hakika wale wote waliomponda Msigwa kupitia Utumishi wa dini yake Watapigwa pigo takatifu.
 
ondoa neno mheshimiwa weka mhuni ndio tutakupa namba yake
 
hayo yamesemwa leo bungeni na mh sitta. na kwa namna moja ama nyingine yana ukweli..msigwa ni mhuni sio mchungaji.
 
unaitaka ya nini? lolote litakalomtokea SITTA utakuwa umehusika moja kwa moja MODs ban haraka sana huyu mtu.

povu la nn mbona za spika na naibu wake mlizigawa kama mmelipwa.wapuuz nyie
 
ondoa neno mheshimiwa weka mhuni ndio tutakupa namba yake

Kama na wewe una namba ya huyo unayedai ni muhuni basi kadhalika weye pia muhuni tena mimi nakuongezea si muhuni tu ila muhuni paka shume we! Hapo vipi umefurahi wewe nyau shume?
 
Kuna jicho la tatu na bungeni hapa watajaza thread,
 
yea, mana kuna wahuni wajanja lakini huyu ni mhuni wa kawaida ambaye hana lolote

Yaonekana Msigwa ni Mwiba kwenu maana wewe,Kinana na Sitta msingepambana nae,hongereni kumkubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…