Habarini, naombeni msaada kwa mwenye link yoyote ya crack ya ms office ya mwaka wowote tafadhari anisaidie.
Nilikua na setup zangu nyingi ya mwaka 2013,2016 na 2019 kwa bahati mbaya nilifanya clean installation ya windows sasa nilijisahau sikueka ant virus, setup zangu zikaliwa
Naombeni mwenye link nzuri tafahari anisaidie.