Spinster
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 487
- 138
Jaman Naomba mwenye kujua naweza kupata wapi hyo plastic +aluminium nyeupe inayowekwa ukutan kwny maduka anisaidie. Inapatikana wapi na bei ikoje na wanapima vipi. Please nahitaj sana. Na ikiwezekana kupata namba zamuuzaji itakua vizuri
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app