
mi ngoja ni deal na namba za huyo mrembo furaha kwenye hiyo pichaNinaitaji msaada mwenye kufahamu application nzuri sana ya kuedit picha View attachment 831328
Jaribu >ADOBE PHOTOSHOPMwenye android
Nilivyoelewa sio namba za mrembo, ni namba za huyo designer alietengeneza hio pichami ngoja ni deal na namba za huyo mrembo furaha kwenye hiyo picha
Imetengenezwa na Adobe photoshop PC (probably)Mwenye android
Hizi si za kulipia mkuuJaribu >ADOBE PHOTOSHOP
>PixellLab
>After focus
>Picsart
Hizo Ndizo Main Apk na Bora zaidi.
Namba ya mwanaume mwenzako ile anatangaza biashara yakemi ngoja ni deal na namba za huyo mrembo furaha kwenye hiyo picha
umeijaribu?Namba ya mwanaume mwenzako ile anatangaza biashara yake
Najuaumeijaribu?