Msaada: Mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje?

Acha uongo. Haipo Tanzania, yeye kasoma wapi? Nyie clinical officers mna nyodo sana. Unasoma math halafu unaajiriwa Ocean Road kutoa tiba ya mionzi. Acha kueneza uongo. Kama hakusaidiwa huko chuoni ambako amesoma miaka kadhaa na kutoka bila kujua jinsi ya kuandika jina la kozi, mimi nitamsaidiaje hapa JF? Usielewe jina la kozi uliyosoma kwa miaka 3 halafu uje ujue jina ukiwa field? Unafikiria kwa kutumia nini wewe?
Adui wa kwanza wa Africa ni sisi African people hasa viongozi,unajua kabisa hiyo kozi kwa Tz haipo na wanaajiri watu wa phy na math,na kijana anaomba msaada wa kujua nin afanye aweze kupata nafasi wewe mtu ambae kazi unayo ndio unaanza kumkatisha tamaa na kutukana watu.shame on you....na Kama ulikuwa hujui au unajua Medical field unakuwa vizur na kujua Mambo ukishakuwa kazini na sio darasani.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama hujui kitu uliza pia kuliko kuanza majigambo yakujua ulichosomea au kutokujua ,najua hujui kuhusu medical physist umeshawahi kwenda ocean road ukaona dosimetry plan ya cancer inafanywa na mtu gani ?oncologist lazima awe na medical physist kwaajili ya nuclear dosage nadhani utakuwa umenielewa
Mkuu kwa Tz medical, walimu, bwana shamba/Kilimo kama.ni ajira za.Serikali hakuna Interview, labda private
 
Acha uongo. Haipo Tanzania, yeye kasoma wapi? Nyie clinical officers mna nyodo sana. Unasoma math halafu unaajiriwa Ocean Road kutoa tiba ya mionzi. Acha kueneza uongo. Kama hakusaidiwa huko chuoni ambako amesoma miaka kadhaa na kutoka bila kujua jinsi ya kuandika jina la kozi, mimi nitamsaidiaje hapa JF? Usielewe jina la kozi uliyosoma kwa miaka 3 halafu uje ujue jina ukiwa field? Unafikiria kwa kutumia nini wewe?
Hiyo kozi haipo Tanzania hata ukibisha pale ocean road wanaajili mtu aliesoma phys na math ,kuwa muelewa wewe kupata kazi haimaanishi unajua sana
 
Acha uongo. Haipo Tanzania, yeye kasoma wapi? Nyie clinical officers mna nyodo sana. Unasoma math halafu unaajiriwa Ocean Road kutoa tiba ya mionzi. Acha kueneza uongo. Kama hakusaidiwa huko chuoni ambako amesoma miaka kadhaa na kutoka bila kujua jinsi ya kuandika jina la kozi, mimi nitamsaidiaje hapa JF? Usielewe jina la kozi uliyosoma kwa miaka 3 halafu uje ujue jina ukiwa field? Unafikiria kwa kutumia nini wewe?
Screenshot_20210725-085923.png
 
Mbona unaonyesha sifa za mwalimu wa physics na math wa sekondari? Mtizamaji atajuaje kuwa ni sifa za kazi inayoongelewa hapa? Una kazi sana wewe. Hiyo kazi mwachie mwingine. Haikufai. Hauna uwezo wa kazi hiyo.
😂😂😂😂We jamaa una matatizo sana okay lakini ujue tu kwa Tz hakuna chuo kinachofundisha hiyo kozi zaidi tu huwa wanachukua mtu aliesoma physics au phys na math
 
Habari wakuu,

Naomba mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje?

Msaada please.
Vijana wa siku hizi mbona mnapenda ulaghai?sasa tukikupa hayo maswali hiyo sio interview Tena!?
Kama umesoma vzr taaluma yako wasiwasi wa nini!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom