Msaada: Mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje?

Hili si suala la kuwa na gari, fedha, nyumba ama mwenza. Ni suala la wewe kusoma miaka 3 ama zaidi lakini usijue hata jina la ulichosoma katika miaka hiyo. Kama hili ni gumu kwako hizo dose za mionzi utaziweza? Si utaunguza watu kwa mionzi?
Sasa mkuu siungesema shida ni spelling mbona jambo dogo unalikuza sana?ukiona umefanikiwa sana usidhalau wasionacho mkuu
 
Hili si suala la kuwa na gari, fedha, nyumba ama mwenza. Ni suala la wewe kusoma miaka 3 ama zaidi lakini usijue hata jina la ulichosoma katika miaka hiyo. Kama hili ni gumu kwako hizo dose za mionzi utaziweza? Si utaunguza watu kwa mionzi?
Sawa
 
Does not exist in the medical field. Kama haujui hata jina la kazi uliomba na kuitwa kwenye interview, utapataje hiyo kazi. Uliisomea kweli ama umechukuwa cheti cha mtu? Medical kozi fupi sana ni miaka 3. Yaani wewe ulisoma miaka 3 halafu haujui hata kazi hiyo!! Dunia ina maajabu! Ama ni chai bila vitafunio?
Wewe ndio hujui, wapo hapa ocean road wanafany kazi.Usiropoke siku nyingine uliza...
 
Ili upate kazi ya medical physicist lazima uwe na masters of medical physics, siyo masters of physics. Hiyo masters inatolewa South Africa na Ghana kwa Africa na nchi nyingine za Asia, Europe na mabara mengineyo

Kama una bachelor of physics ili upate hiyo nafasi basi uwe na connection na wakubwa vinginevyo utakuwa volunteer tu baada ya short training inayohusika na human anatomy, physiology, radiotherapy dose calculation & quality assurance of the machines.
 
Hiyo kozi ya Medical physicist inatolewa wapi hapa Tanzania kwa bachelor degree?
Kwa Tanzania haipo hiwa wanachukua mtu aliesoma bachelor in physics na mtu aliesoma education ya math na phys
 
Kweli lakini ocean road huwa wanaajili assistant medical physicist kwa mtu aliesoma bachelor in physics
Ili upate kazi ya medical physicist lazima uwe na masters of medical physics, siyo masters of physics. Hiyo masters inatolewa South Africa na Ghana kwa Africa na nchi nyingine za Asia, Europe na mabara mengineyo

Kama una bachelor of physics ili upate hiyo nafasi basi uwe na connection na wakubwa vinginevyo utakuwa volunteer tu baada ya short training inayohusika na human anatomy, physiology, radiotherapy dose calculation & quality assurance of the machines.
 
Wee utakuwa mjinga mwenzie. Kakosea mara moja? Watu wengi wamemrekebisha lakini haoni kosa. Hiyo ni kukosea spelling? Kama una kazi mpe.
Kukosea spelling ndio unajifanya kumuona mtu hajui kabisa..kwamba wewe you are so so perfect.Shame on you
 
Wee utakuwa mjinga mwenzie. Kakosea mara moja? Watu wengi wamemrekebisha lakini haoni kosa. Hiyo ni kukosea spelling? Kama una kazi mpe.
Sijakufata kukuomba kazi wewe kama wewe nilichokiomba kwa wadau ni mwenye idea na maswali ya hiyo kozi sasa sijajua kinachokupa shida nini?kama unajua na hujaweza kutoa msaada ni vyema ungekaa kimya haina haja yakuanza kujibizana
 
Rudi shule kwanza ukaelewe jina la kozi. Halafu ndio utafute kazi. Hauwezi kuanza kutafuta kazi halafu ndio ujue jina la kozi inayokupa kazi hiyo.
Sijakufata kukuomba kazi wewe kama wewe nilichokiomba kwa wadau ni mwenye idea na maswali ya hiyo kozi sasa sijajua kinachokupa shida nini?kama unajua na hujaweza kutoa msaada ni vyema ungekaa kimya haina haja yakuanza kujibizana
 
Adui wa kwanza wa Africa ni sisi African people hasa viongozi,unajua kabisa hiyo kozi kwa Tz haipo na wanaajiri watu wa phy na math,na kijana anaomba msaada wa kujua nin afanye aweze kupata nafasi wewe mtu ambae kazi unayo ndio unaanza kumkatisha tamaa na kutukana watu.shame on you....na Kama ulikuwa hujui au unajua Medical field unakuwa vizur na kujua Mambo ukishakuwa kazini na sio darasani.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom