Msaada:Mwenye hizi nyimbo anisaidie

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,528
6,085
Wasalam
Wakuu mimi ni mpenzi sana wa Old school Bongo flava,naomba mwenye hizi nyimbo anisaidie,jitihada zangu zimekwama
1.Mng'aro wa Silva FidQ na Nuru L
2.Amri kumi za Mungu wa Dudu baya aka The Dudu
3.Sema Nae Lady JD
Ntafurahi nikizipata nyimbo,
Natanguliza Shukrani,
Quinine Mwitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom