Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari wanajamii forum,
Nilikuwa naomba msaada wa kupata fomu ya kujiunga na chuo cha taaluma ya wanyamapori Pasiansi Mwanza kwa mwaka 2020/2021 maana nikiingia kwenye website yao inaonekana kuna tatizo.