Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Watu wana mambo.... Nina huyo mdogo wangu akiandaa chai yake we hunywi, anajaza sukari huyo.Mmmh!! Hii ni kali!
Sikuwahi jua kuna watu wana ulevi na chumvi!
Tembea uoneMmmh!! Hii ni kali!
Sikuwahi jua kuna watu wana ulevi na chumvi!
Watu wana mambo.... Nina huyo mdogo wangu akiandaa chai yake we hunywi, anajaza sukari huyo.
Wengine hapa siku haiishi bila kutafuna mchele mbichi, nimeshajitahidi kuacha lakini nashindwa
Sukari ikizidi kiwango kwa mda mrefu italeta shida...Watu wana mambo.... Nina huyo mdogo wangu akiandaa chai yake we hunywi, anajaza sukari hiyo.
Hii nayo kali..atakuja mwingine naye atasema siku haiishi bila kula ndizi mbichi kama 4 hivi!Wengine hapa siku haiishi bila kutafuna mchele mbichi, nimeshajitahidi kuacha lakini nashindwa
Inabidi nitoke kwa shemeji sasa!Tembea uone
Mpeleke hospitali haraka iwezekanavyo akapimwe atakuwa ana ukosefu wa madini mwilini mwake. ukifanya dharau chumvi ikizidi mwilini itaharibu figo lake lisiweze kufanya kazi kisha na maradhi ya presha ya kupanda mwisho wake utamkosa mwanao fanya haraka mpeleke hospitali akapimwe.Habari wadau wa Jf
Nina tatizo ambalo linanisumbua kwa mwanangu. Mwanangu anakula chumvi kupita kiasi ,ana miaka mitatu kasoro...
Watu wana mambo.... Nina huyo mdogo wangu akiandaa chai yake we hunywi, anajaza sukari huyo.
Wengine hapa siku haiishi bila kutafuna mchele mbichi, nimeshajitahidi kuacha lakini nashindwa
Mimi ni mtu mzima sasa lakini toka utotoni nilizaliwa kama mwanao. Yani chakula sikisikii ladha kabisaa kisipokua na chumvi ya kutosha. Ata kiwe kizuri vipi Ila chumvi ikiwa kidogo naona kama nakula karatasi.Habari wadau wa Jf
Nina tatizo ambalo linanisumbua kwa mwanangu. Mwanangu anakula chumvi kupita kiasi ,ana miaka mitatu kasoro .
Hii tabia ameiridhi KWA baba yake ambaye naye anakula chumvi Sana ,awezi kula chochote bila chumvi na hata akila anasema asikii ladha ya hicho chakula ,chapati anaongeza chumvi kila kitu chakula chake ukiweka chumvi ya kawaida anaongeza Kama nusu kijiko mtu wa kawaida uwezi kuonja kitu anachokula.
Hii Hali siipendi kabisa lakini Cha kusikitisha mwanangu Naye karithi ,mtoto anatoroka anakimbilia jikoni unamkuta kachukuwa chumvi kamwaga kwenye sahani ametulia anakula ,tunda lolote Hali bila chumvi ,kuanzia papai ,parachichi mkate na KILA kitu mpaka kuwe na chumvi la sivyo atalia Sana. Kwa sasa tunaificha chumvi kuliko sukari
Note:Huyu mtoto hakai na babake muda mwingi wanaonana Mara chache KWA hiyo usiseme kaona KWA babake ,hii Ni amerithi Kama ilivyo na ya kwake ndo kali zaidi.
Nisaidieni Kwanza nifahamu jioni Cha tatizo hili na namna navyoweza kumnusuru mwanangu
Sio vitamin mzee mbona Mimi ndo nimezaliwa hivyoKwa kawaida mwili wa binadam ukikosa vitamin flani huwa unakulazimisha ule kitu flani ili kubalance, hivo mwache mtoto ale hawezi kupata madhara
Sikutegemea mtaalamu kama wewe uwe na jibu la kukurupuka hiviMpeleke hospitali haraka iwezekanavyo akapimwe atakuwa ana ukosefu wa madini mwilini mwake. ukifanya dharau chumvi ikizidi mwilini itaharibu figo lake lisiweze kufanya kazi kisha na maradhi ya presha ya kupanda mwisho wake utamkosa mwanao fanya haraka mpeleke hospitali akapimwe.
Amekurupuka nini hapo? Mbona amejibu vizuri tu..Sikutegemea mtaalamu kama wewe uwe na jibu la kukurupuka hivi
Vipi kuhusu madharaMimi ni mtu mzima sasa lakini toka utotoni nilizaliwa kama mwanao. Yani chakula sikisikii ladha kabisaa kisipokua na chumvi ya kutosha. Ata kiwe kizuri vipi Ila chumvi ikiwa kidogo naona kama nakula karatasi.
Nimefuatilia mtandaoni nikagundua ni conditions tu baadhi ya watu wanazaliwa nayo kiingereza huitwa supertasters. Kwahiyo usifiche chumvi unamnyanyasa tu mwanao bure ndo alivozaliwa
😹😹😹 Anafuatilia hadi tangazo la chimvi mweeee, huyu mtoto kwao baharini huko itakuwaVipi kuhusu madhara
Nimecheka Sana Mana mtoto yupo addicted huyu
Nilikuwa napika nikamimina chumvi kwenye kuganja nikaweka kwenye chakula nikasikia mama lamba mkono
Leo kachukuwa chumvi nusu pakiti kaloweka kwenye maji kanye's yote
Tangazo la chumvi ya Neel hata awe usingizini lazima aamke asikiize huwa halimpiti kabisa na anafurahia hatar
Watu wana mambo.... Nina huyo mdogo wangu akiandaa chai yake we hunywi, anajaza sukari huyo.
Wengine hapa siku haiishi bila kutafuna mchele mbichi, nimeshajitahidi kuacha lakini nashindwa