Msaada: Mwakyembe kabadilishiwa wizara?

Msaada: Mwakyembe kabadilishiwa wizara?

Blessed Son

Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
34
Reaction score
23
Wakuu naomba kujuzwa kama mwakyembe kabadilishiwa wizara au ni mm sijui mipaka ya wizara yake ya michezo,leo bungeni naona anaulizwa maswali kuhusu huduma za mahakama,kesi mbali mbali kucheleweshwa pia,kama wapo wajuzi wa hilo tafadhali mnifahamishe
 
Itakuwa Prof Kabudi hayupo ndio maana anamsaidia maana Mwakyembe ni mzoefu kwenye hiyo Wizara ya Katiba na Sheria.
 
220px-Lucas_Cranach_%28I%29_-_Adam_and_Eve-Paradise_-_Kunsthistorisches_Museum_-_Detail_Tree_of_Knowledge.jpg
 
Mwakyembe ni nguli ktk siasa na wizara nyingi sana hivyo anamudu kila kona huko mjengoni
 
Toka atoke India inaonekana jamaa akili zimekuwa sharp, anajua kila kitu ndo maana anaulizwa yeye kama waziri fulani hayupo.
 
Back
Top Bottom