makondekoujiji
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 384
- 499
Habari wakuu,
Naomba msaada waharaka, ninampenzi wangu ambae kwamara ya kwanza nimesex nae ilikuwa ni juzi ijumaa,jumamosi akaanza kuhisi muwasho sehemu za siri haswa anapokwenda haja ndogo.
Jana na Leo anadai anahisi maumivu yaani kama kuna michubuko.
Naomba msaada atumie Dawa gani ili arudi katika hali yake ya kawaida?
Ahsanteni.

Last edited by a moderator: