princessrahma
Member
- Oct 14, 2014
- 9
- 0
Habari wana jf.Mimi ni mgeni humu ila napenda kushea hili nililo nalo ili nipate ushauri zaidi. Nina rafiki yangu ambaye ana mchumba wake wanatarajia kufunga ndoa mwezi ujao ila tatizo ni kwamba huyo mchumba ambaye ni me amekuwa hamuelewi cku hizi, wanaweza wakakwaruzana hata kwa kitu kidogo tu kisichokuwa na maana na kuweza kununiana kwa cku nzima mpaka kesho yake tena hata kama me ndo mwenye makosa hapigi simu wala hatumi meseji mpaka ke aanze kumtumia meseji au kumpigia. Je wakuu mnaliongeleaje hili suala maana ni msaada kweye tuta. Ushauri plz nini cha kufanya ili hii mikwaruzano isiwepo