Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,817
- 58,462
Leo umekula nn? LolNimetokea kudata na huba lako coca!.. wala sipendi sifa mi napenda sifa zako!
wachana na kula!, nijibu kwanza mi moyo wangu unanibubujika huba dhidi yako!Leo umekula nn? Lol
ππππ
Komwee ntakubonda, acha sifa, ππππwachana na kula!, nijibu kwanza mi moyo wangu unanibubujika huba dhidi yako!
Sitanii nimekupenda kweli!Komwee ntakubonda, acha sifa, ππππ
Watu mizaha, ana umri gani mkuu naweza nikakuunganisha na mshikaji mmoja, mwanangu alianza kusumbuliwa na ngili akiwa na miaka2. 5,nikamlambisha kizizi mara moja tu mpaka leoNi mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Hahaha πMtoto hata hajakomaa kiuno tayari mmeanza kugombania pumbu lake jamani! Khaa!
Cc: Lamomy Extrovert secretarybird
Hahaha ππ
πΉπΉπΉ wizo ntakupasua ujue..!!Mtoto hata hajakomaa kiuno tayari mmeanza kugombania pumbu lake jamani! Khaa!
Cc: Lamomy Extrovert secretarybird
Hahaha π€£πΉπΉπΉ wizo ntakupasua ujue..!!
Mh! kivipi yani hebu dadavua..?
Labda hivyobasi ukoo wenu una vimelea/vinasaba vya tatizo hilo.
Wa tafute wazee kuna lingo huwa wanafungwa nikabila gani wewe mkuPumbu mkuu
Em apiaa.Sitanii nimekupenda kweli!
Pia ungetaja na umri wa mtoto.Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
akha! sasa niapie mara ngapiEm apiaa.