Kunae watoto 2 niliwafanyia mie mwenyewe, had leo hawana hilo tatizo. M1 yuko drs la 6 now.Coca mitishamba inasaidia tu relaxation of muscles hivyo kama iko juu itarudi chini na kama chini itarudi juu mahali pake na ndio maana huchemshwa kwanza ili iwe ya moto.
Hili sasa sio suluhisho la kudumu ile open space lazima izibwe, so as far as my knowledge is concerned suluhisho sahihi ni surgery wapazibe pale ili nafasi isipatikane, ikitokea imerudi tena japo chances are low watashona tena ndio dunia.
Huo ni mshipa, (ngiri) hiyo 1 imezama ndani, ila itarudi tyuh usijari, but dawa za mitishamba ndio tiba sahihi ya hilo. Utazunguka hospital zote hutopata tiba ya uhakika.
Mie naijua dawa yake, na naweza kumfanyia, km uko serious njoo inbox.
Njoo unitibu nina shida ya mahaba!Rhabhekhaaa!!!
Korodani/testispumbu
Uchaguzi ❌Hilo ni tatizo mkuu, mpeleke mtoto kwa wataamu wa afya kwa uchaguzi zaidi.
Kama sio hernia sawa ila kama ni hernia ile nafasi unaiziba vipi kwa nje? unipe elimu nikuletee wateja.Kunae watoto 2 niliwafanyia mie mwenyewe, had leo hawana hilo tatizo. M1 yuko drs la 6 now.
kendeKorodani/testis
Safi👏Uchaguzi ❌
Uchunguzi ✅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sure, cryptorchidism hiyo..Coca mitishamba inasaidia tu relaxation of muscles hivyo kama iko juu itarudi chini na kama chini itarudi juu mahali pake na ndio maana huchemshwa kwanza ili iwe ya moto.
Hili sasa sio suluhisho la kudumu ile open space lazima izibwe, so as far as my knowledge is concerned suluhisho sahihi ni surgery wapazibe pale ili nafasi isipatikane, ikitokea imerudi tena japo chances are low watashona tena ndio dunia.
Sio kweli, hiyo ni tofauti.Hata mtu mkubwa kuna wakati mapumbu/makende/korodani hupotea na kuachana na mfuko wake ukisinyaa tu hasa wakati wa baridi na hofu kuu
Mkoa Gani upon?? Maana kama ni mikoa ya pwani hiyo ni ngiri na dawa za asili hutumikaNi mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Sawa.Iandike kuhusu hiyo dawa humu kwa faida yake na wengine, leo kwake kesho kwa mwingine
Dawa ya mahaba ni hela, vipi unayo?Njoo unitibu nina shida ya mahaba!
Mshipa sio Hernia, nahitaji kusahihishwa pia.Kama sio hernia sawa ila kama ni hernia ile nafasi unaiziba vipi kwa nje? unipe elimu nikuletee wateja.
dawa ni weweDawa ya mahaba ni hela, vipi unayo?