Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

Asante kwa ushauri ndugu
Huyo dokta ntampateje Kinondoni B kubwa, kama unajua ofisi yake ilipo au jina la ofisi utakua umenisaidia zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pale pale Kinondoni B. Kama unatokea Mkwajuni ni baada ya kituo cha mwendokasi kona ya kwanza kushoto. Ukishakata kona tu utaiona hiyo clinic imeandikwa Kinondoni B Clinic.
Samahani kwa kuchelewa kujibu
 
Sasa ni miezi miwili na nusu lakini bado analia sana dawa za hospitali zote zimedunda, dokta kasema turudi tu nyumbani mtoto hana tatizo

Wenzangu mmepitaje hapa yaani hakukaliki hakukaliki iwe mchana iwe usiku
Daaa mkuu sitaki hata kukumbuka mwaka Jana mwanangu pia tulikuwa hatulali hadi asubuhi, sisi tulishauriwa tumnyweshe castle oil kidogo, ila ilitulia kwa mda akaanza tena. Baada ya miezi 2 ndio ataacha kulia, tatizo huwa ni gas tumboni
 
Sasa ni miezi miwili na nusu ndugu, mambo yangu yamesimama kikweli nimedhoofika kwa sababu mchana situlii na usiku silali
Mtoto wangu wa kiume alikua na hali hiyo. Ilifikia kipindi kuna daktari akasema afanyiwe operation sijui ni henia.... Niliwahi kununua mpaka madawa ya kiarabu ila hola...
Nilikataa na alipona bila dawa.
Kinachotokea ni mtoto kunyonya hewa nyingi hivyo kufanya tumbo kujaa gesi mara nyingi. Hali hii uisha kabsa mtoto anapofikisha miezi mitatu yani anapoanza kukomaa...

Msimpe chochote atapona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni miezi miwili na nusu ndugu, mambo yangu yamesimama kikweli nimedhoofika kwa sababu mchana situlii na usiku silali
Mkuu tatizo bado lipoo??? Tafuta Grip water inasaidia sanaa..Alafu choo siku nne duuh ingekuwa unampa lactogen sawaa... Pole sanaa
 
Jamani naomba mnisaidie naamini hapa kuna wazoefu juu ya ulezi

Mwanangu (kiume) umri siku 27, analia sana hasa usiku hatulali... Pia ana siku ya nne hajapata haja kubwa, anaishia kujamba. Jumatatu tulimuona dokta, akamcheki tu akasema hana tatizo.

Mama ana maziwa ya kutosha na mtoto ananyonya vizuri tu ila shida ndo hiyo nilowaambia

Note:tulijaribu kumnywesha Gripewater lakini hakupoa.... na leo tumeanza kumpa INFACOL lakini bado tatizo halipoi.

msaada wa mawazo ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe maji ya kunywa. Kaka yangu aliwahi pata shida kama hiyo utotoni hadi kulazwa. Mama mmoja akamshangaa mama yangu kwanini hampi mtoto maji. Akamwambia ampe. Alivyokunywa, kesho yake akapata choo na kuruhusiwa kutoka wodini.
 
Sasa ni miezi miwili na nusu lakini bado analia sana dawa za hospitali zote zimedunda, dokta kasema turudi tu nyumbani mtoto hana tatizo

Wenzangu mmepitaje hapa yaani hakukaliki hakukaliki iwe mchana iwe usiku
Upo mkoa gani?
 
Jamani naomba mnisaidie naamini hapa kuna wazoefu juu ya ulezi

Mwanangu (kiume) umri siku 27, analia sana hasa usiku hatulali... Pia ana siku ya nne hajapata haja kubwa, anaishia kujamba. Jumatatu tulimuona dokta, akamcheki tu akasema hana tatizo.

Mama ana maziwa ya kutosha na mtoto ananyonya vizuri tu ila shida ndo hiyo nilowaambia

Note:tulijaribu kumnywesha Gripewater lakini hakupoa.... na leo tumeanza kumpa INFACOL lakini bado tatizo halipoi.

msaada wa mawazo ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watoto wa kwanza kuzaa muwe munawaacha na bibi zao maana wengi hamjui lolote, huyo mtoto hana shida yoyote sema ugeni wa kuwa mzazi unakusumbua, mtoto kulia usiku ni normal , choo nacho ni hali ya kawaida.
inshort kama mtoto ananyonya na kushiba vizuri piaa inafika time ancheza kidogo relax ni hatua za ukuaji tu
 
Watoto wa kwanza wanatoa jasho kwa kwelii
 
Ndio kuna tudakika anacheza kidogo ila akianza kulia hilo yowe

Back
Top Bottom