Msaada: Mtoto wa miezi 10 kupata choo kidogo kidogo mara nyingi kwa siku

Tatizo wamama wengi siju hizi ni wavivu ajabu. Mtoto anakaa na diaper muda mrefu, akijisaidia wanamfuta na wipes ndo imetoka. Hii inawafa ya watoto kuungua makalio na kupata uti zisizoisha. Wamama badilikeni aisee. Valisheni watoto diaper pale kqenye ulazime, sio mtoto anashinda na diaper siku nzima, na hivi dada wa kazi ndo anaachiwa mtoto basi mtoto hata kama ka poo dada atasubiri amalize rundo la nguo aliloachiwa ndo akamsafishe mtoto. So bad
Asante sana mommythebest . ushauri utafika
 
Apunguze kumlisha mtoto kila saa
ampe chakula kila baada ya mda flani na asimshindilie machakula mengi na wakati anaona mtoto ana puuu asimuhangaishe amuache apuu vyote Mara nyingi mtoto akipuu tuu alaf ukamsumbua au kumshtua anaacha kabisa anakuja tena Ku puu baadae
Safi sana. Ujumbe utafika.
 
Hautakiwi kusumbuliwa wakat unakata gogo
Yeee ukisumbuliwa tuu yanarudi.... Hujawahi kukata gogo kwenye choo chakavu ambacho wa nje na Wa ndani wanaonana
Yaan mtu akikatiza tuu gogo linarudi mpaka baadaeee
 
Inategemea ni haja urojo au ya kawaida.. na je anaonyesha kuugua au kuwa na homa..

Kwa kivyovyote mimi ningeanza pia kwa kumpatia maji mengi zaidi anywe nione.
Ya nepi kubadilika mmeambiwa.. nyingine ni hasipobadilishwa haraka.
Na muache apate hewa kila mara apone huko. Hili tatizo kwa wengi inakuwaga malezi kwa mtoto. Hata vaseline nzuri inafanya kazi..
 
How old is mtoto?keshaanza vyakula vingine?mixed feeding
Kwa siku unamfeed mara ngapi?

Je choo kina kamasi kamasi au damu?

Maji ya kunywa unampa na unachemsha kama unampa?

Mala-absorption
 
Yeee ukisumbuliwa tuu yanarudi.... Hujawahi kukata gogo kwenye choo chakavu ambacho wa nje na Wa ndani wanaonana
Yaan mtu akikatiza tuu gogo linarudi mpaka baadaeee

Au choo kiwe na mazingira yasiyoridhisha
 
Inategemea ni haja urojo au ya kawaida.. na je anaonyesha kuugua au kuwa na homa..

Kwa kivyovyote mimi ningeanza pia kwa kumpatia maji mengi zaidi anywe nione.
Ya nepi kubadilika mmeambiwa.. nyingine ni hasipobadilishwa haraka.
Na muache apate hewa kila mara apone huko. Hili tatizo kwa wengi inakuwaga malezi kwa mtoto. Hata vaseline nzuri inafanya kazi..
Asante cocochanel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom