Msaada: Mtoto wa miaka miwili kuharisha malenda

transom

Member
Feb 21, 2016
64
36
Habarini za asubuhi ndugu zangu.

Ninamtoto wa kiume anasumbuliwa na tatizo la tumbo.
Nikimpa chakula tu, ama uji baada ya dakika 20 hivi lazima atajisaidia malenda malenda, yaani chakula hakikai tumboni.

Nilimpima choo kikaonekana hakina tatizo.
Naomba ushauri ndugu zangu nifanyeje?

Kwa yeyote anaemjua daktari bingwa wa watoto naomba anijulishe.


Nipo dar Kigamboni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom