mtoto wako alipata tiba gani, Mimi Nina mtoto wa kesi km yakoMkuu mtoto alikuwa kumbe anasumbuliwa na aleg. Kanyimwa kula vitu vingi sana na kikohoz kikaisha mzee
Nasubilia jibu mdau, namimi mtoto wangu ana tatizo kama hilo. Baadhi ya dawa ambazo tumeishatumia ni hizi hapa. Saa kumi za alfajili, mtoto anakohoa, usingizi kwangu umekatamtoto wako alipata tiba gani, Mimi Nina mtoto wa kesi km yako