Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,826
- 1,660
Hapo ukuteAlisha
alishachukuliwa Dr wao wanasema ana infaction
Hana badala yake ni ana ukimaanisha hana
Hapo ukuteAlisha
alishachukuliwa Dr wao wanasema ana infaction
Hicho kidude nakikumbuka vizuri jinsi kilivyoniuguza sana na kunifanya nikonde mithili ya muathirika, Nilikohoa mno nilikonda sana, Ila mwaka 2003 kilikatwa & Nikapata amani mpaka leo.ndiyo
Asantejaribu kutumia hii kikonyo cha mkungu wa ndizi (sina uhakika na jina).
![]()
Unaichoma na kutengeneza unga mweusi, changanya na unga wa magunzi yaliyochomwa pia, usisahau chumvi kiasi ya kuleta utamu kiasi.
NB: Wingi ama kiwango, ni wewe mwenyewe, maana hutumiwa na mtu yeyote, tumia mara kwa mara mpaka tatizo litakapo koma. Sisi wahenga ndiyo dawa iliyotukuza.
PAZIA 3
Hii dawa ni nzuri mno na hii akitumia kama bado anakohoa itabidi ageukia mitishamba. Bei yake ni kwenye 12,000Tafuta Benylin Dry Cough.
Ni dawa nzuri sana na bei yake ni kubwa kidogo lakini ni nzuri mnoo.
Mkuu, Tunaipunguza makali, Baada ya kuisaga au kui-blend tunatia maji safi na salama ya moto kiasi tunatia na asali mbichi halafu anatumia kijiko kidogo kutwa mara 3
Mpeleke muhimbili hosp huenda ni TBNdugu zangu,
Naombeni msaada wenu,
Nina mtoto anakohoa sana usiku hasa kuanzia saa sita mpaka saa moja asubuhi.
Ni wiki ya nne sasa nimempeleka hospitali dawa zote zimekataa. Ana kikohozi kile kikavu ana miaka 5.Imekuwa ikijirudia kwa miaka kadhaa sasa toka akiwa mdogo.
Hospitali za watoto nyingi ameshaenda hapa DSM ameshapewa nyingi mno lakini wapi.
Pia kuna kipindi kinaanzaga kikavu alafu inageuka kuwa na home baada ya week au siku kadhaa.Tukipewa antibiotic kinalainika kwa muda alafu kinaanza tena kikavu tena.
Naombeni msaada plz.
Yes, Ndio kilimi.Kidaka tonge ndo kilimi au?
Sasa kama daktari kishasema ana "infection" yaani maambukizi fulani ina maana tayari keshafahamu tatizo hilo kwa maana microbes (vijidudu) wanaosababisha. Endelea kufuata ushauri wa daktari.Alisha
alishachukuliwa Dr wao wanasema ana infaction
Achana na utaratibu wa kufanyia majaribio mwili wa mwanao hata wako. Hospitali ukienda jieleze vema kwa daktari, akiona umuhimu wa kumpima minyoo mtoto atafanya hivyo na hapo patakuwa na uhakika kama ana minyoo au la. Na kama ipo utapata dawa inayoendana na tatizo husika.Ngoja nijaribu kump
ngoja nijaribu kumpa dawa ya minyoo asante

angalia matandiko Na mashuka kuna mengine sio pure cotton. niliwahi pata shida Na hii kitu usafi wa mapazia magodoro mengine ni chakavu yanatoa vumbi ambalo kuliona hadi uwe makiniKidaka tonge ndo kilimi au?
UMENIKUMBUSHA NYUMBANI KAGERA, UMENIKUMBUSHA DAWA NILIYOKUWA NIMEISAHAU, ALINIFUNDISHA BI MKUBWA HIYO.jaribu kutumia hii kikonyo cha mkungu wa ndizi (sina uhakika na jina).
![]()
Unaichoma na kutengeneza unga mweusi, changanya na unga wa magunzi yaliyochomwa pia, usisahau chumvi kiasi ya kuleta utamu kiasi.
NB: Wingi ama kiwango, ni wewe mwenyewe, maana hutumiwa na mtu yeyote, tumia mara kwa mara mpaka tatizo litakapo koma. Sisi wahenga ndiyo dawa iliyotukuza.
PAZIA 3
Sure ni zaidi ya nzuri. Nilitumia mara moja tu mpaka leo sijawahi kukohoa. Nina hakika akitumia ataleta feedback hapa. Bei yake iko juu sababu ya ubora wake.Hii dawa ni nzuri mno na hii akitumia kama bado anakohoa itabidi ageukia mitishamba. Bei yake ni kwenye 12,000
MUCUS IS THE UNDERLINE CAUSE FOR ALL DISEASENdugu zangu,
Naombeni msaada wenu,
Nina mtoto anakohoa sana usiku hasa kuanzia saa sita mpaka saa moja asubuhi.
Ni wiki ya nne sasa nimempeleka hospitali dawa zote zimekataa. Ana kikohozi kile kikavu ana miaka 5.Imekuwa ikijirudia kwa miaka kadhaa sasa toka akiwa mdogo.
Hospitali za watoto nyingi ameshaenda hapa DSM ameshapewa nyingi mno lakini wapi.
Pia kuna kipindi kinaanzaga kikavu alafu inageuka kuwa na home baada ya week au siku kadhaa.Tukipewa antibiotic kinalainika kwa muda alafu kinaanza tena kikavu tena.
Naombeni msaada plz.
Tupe mrejesho juu ya mtoto wakoNdugu zangu,