Msaada: Mtoto kukohoa sana usiku

Msaada: Mtoto kukohoa sana usiku

kitali

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
6,273
Reaction score
9,584
Ndugu zangu,

Naombeni msaada wenu,

Nina mtoto anakohoa sana usiku hasa kuanzia saa sita mpaka saa moja asubuhi.

Ni wiki ya nne sasa nimempeleka hospitali dawa zote zimekataa. Ana kikohozi kile kikavu ana miaka 5.Imekuwa ikijirudia kwa miaka kadhaa sasa toka akiwa mdogo.

Hospitali za watoto nyingi ameshaenda hapa DSM ameshapewa nyingi mno lakini wapi.

Pia kuna kipindi kinaanzaga kikavu alafu inageuka kuwa na home baada ya week au siku kadhaa.Tukipewa antibiotic kinalainika kwa muda alafu kinaanza tena kikavu tena.

Naombeni msaada plz.
 
download.jpeg
JARIBU KUANGALIA KIDAKA TONGE HUENDE HUWA KINAREFUKA.
 
Nimetumia mkuu lakin baada ya muda mfupi kinarud
Kwani alishachukuliwa kipimo cha makohozi?
Umeshamuangalia kama hana kilimi?
Vipi kuhusu chemba moyo?
Kuna tumaua fulani twa kijani ni tu-magugu huko Kagera tunaitwa "Mwigara" huwa tunamkamulia vitone puani na mdomoni mtoto lakini sina picha yake ningekutumia uione.
 
Alisha
Kwani alishachukuliwa kipimo cha makohozi?
Umeshamuangalia kama hana kilimi?
Vipi kuhusu chemba moyo?
Kuna tumaua fulani twa kijani ni tu-magugu huko Kagera tunaitwa "Mwigara" huwa tunamkamulia vitone puani na mdomoni mtoto lakini sina picha yake ningekutumia uione.
alishachukuliwa Dr wao wanasema ana infaction
 
kitali minyoo inatofautiana,

Kuna:-
Ringworms,
Earthworms, Tapeworms, ETC.

Dawa nazo zinatofautiana,
Kuna:-
1.Albendazole
2.Mebendazole, N.K
Ukampime choo kwanza.
 
Back
Top Bottom