Mama naye aongeze kula chakula bora.Habari
Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi ukimtoa analia.
Clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6.
Je nini naweza kufanya kumsaidia mtoto na mamake?
Hizi nadharia za kumnyonyesha mtoto Kwa miezi sita bila kumpa hata maji ni ujinga! Mpeni maziwa ya ng'ombe. Muanzishieni na uji mwepesi acheni kufuata kanuni za wazunguHabari
Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi ukimtoa analia.
Clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6.
Je nini naweza kufanya kumsaidia mtoto na mamake?
Mama anakula kiepe hahahahaAsipo nyonya shida,,akinyonya shida,,,maziwa ndio chakula yake acha anyonye kadri awezavyo,,,mama ndio ahakikishe anakula vizuri zaidi ili maziwa yapatikane ya kutosha kwa ajili ya kukidhi haja ya mtoto ya unyonyaji!!!
AsanteTatizo siku hizi wamekuja na kasumba za ajabu mahospitalini kuwa mtoto apewe maziwa ya mama tu kwa miezi sita. Huu ni upuuzi wa hali ya juu.
Sisi tulilewa kwa kunyonyeshwa maziwa ya mama lakini tulipewa uji mwepesi kama kawaida na mpaka leo tuna watoto pia.
Nahisi itakuwa ni mtoto wenu wa kwanza, kama kuna mama yako ama mama mkwe wako au mtu mzima yeyote alie karibu mshirikisheni katika kukupeni ushauri. Atakuelekezeni jinsi ya kutengeneza uji wa mwepesi wa mtoto mchanga.
Vijijini mtoto wa mwezi mmoja anakandikwa ugali na wanakuwa fresh tu.