Msaada, mtoto anakohoa sana!

Makuku Rey

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
3,466
3,759
Mtoto wangu anabanwa sana na kikohozi hasa ikifika usiku!

Nilienda naye hospital ya wazaz,alipimwa na nikaandikiwa dawa,nilizunguka kutafuta dawa hiyo sikuipata then nikarud hosptal wakanibadilishia dawa!nmetumia lakn naona hali ya mtoto haitengamai!ni kulia tu mafua,kikohozi vinamsumbua!

msaada:nitumie dawa gani nyingine ambayo inaweza kumsaidia?
 
watu mnaweza sema nimewahi haya mambo ila so kweli!

Naiamini sana jf ndio maana nkaona nipate mawazo ya wakuu wa huku!

madaktari waliopo hosptal ndio haohao members wa jf!pia jf ina watu wazima wenye busara zao ambao pengine mi ni kama mtoto wao!

Siyo kweli kuwa nmekaa tu na kupost hii thread basi na kusubiri mwanangu apone,nimehangaika naye sana hospitali up to the time hii thread inaanzishwa nilikuwa ndo naelekea hospitali ya wazaz META.
 
Pole sana wahi hospitali nakutakia kila la heri na baraka ili mwanao apone.
 
Pole vipi kupumua anapumua vizuri?Inaweza kuwa pumu hiyo.Nakushauri umpeleke hospitali za Serikali.Kuna na dawa za kienyeji pia usizidharau mm na mke wangu tulipata mtoto wa kiume aliyezaliwa na pumu,alikuwa anakohoa hatari na kifua kinabana.Tuliangaika naye sana hospitalini.Baadae akaja mtaalamu na dawa ya kienyeji ya kulamba...Pumu kwishney na sasa hivi yupo Form II anadunda.Uanze na hospitali ufahamu tatizo usianze na dawa za kienyeji.Mungu amsaidie huyo mtoto apone hilo tatizo
 
Mtoto wangu anabanwa sana na kikohozi hasa ikifika usiku!

Nilienda naye hospital ya wazaz,alipimwa na nikaandikiwa dawa,nilizunguka kutafuta dawa hiyo sikuipata then nikarud hosptal wakanibadilishia dawa!nmetumia lakn naona hali ya mtoto haitengamai!ni kulia tu mafua,kikohozi vinamsumbua!

msaada:nitumie dawa gani nyingine ambayo inaweza kumsaidia?
Unaishi mkoa gani? Kama ni Dar niambie fasta nikuelekeze hospital moja ya mhindi ipo Kkoo, hizo ndo kazi zake. Alimsaidia sana mwanangu.
 
Pole vipi kupumua anapumua vizuri?Inaweza kuwa pumu hiyo.Nakushauri umpeleke hospitali za Serikali.Kuna na dawa za kienyeji pia usizidharau mm na mke wangu tulipata mtoto wa kiume aliyezaliwa na pumu,alikuwa anakohoa hatari na kifua kinabana.Tuliangaika naye sana hospitalini.Baadae akaja mtaalamu na dawa ya kienyeji ya kulamba...Pumu kwishney na sasa hivi yupo Form II anadunda.Uanze na hospitali ufahamu tatizo usianze na dawa za kienyeji.Mungu amsaidie huyo mtoto apone hilo tatizo

nashukuru sana mkuu,ikifika usiku ni tatizo hapumui vizur,kifua kinabana na anakohoa kikohoz kikavu!but mchana asumbui sana!

Nashukuru sana kwa ushaur wako,ngoja nikomae kwanza hapa hospital then nikishndwa huku ntatafta altenative B.

GOD BLESS MY KID!!
 
Inaweza kuwa Pneumonia hiyo kama kifua kinabana.Kuna na vile vidude ndani ya koo vikirefuka sana vinasababisha kukohoa.Uko mkoa gani kuna mzazi amesema Kkoo kuna Dr.wa Kihindi hapo.Cheza na hospitali kwa sana na uguza pole.
 
Mtoto mchanga hivyo kumjaza midawa ni kosa kubwa ndugu yangu.

Mpeleke mtoto spitali kwa specialist wa watoto.

Watamfanyia uchunguzi ijulikane source ni nini na treatment ipi itafaa.
 
Inaweza kuwa Pneumonia hiyo kama kifua kinabana.Kuna na vile vidude ndani ya koo vikirefuka sana vinasababisha kukohoa.Uko mkoa gani kuna mzazi amesema Kkoo kuna Dr.wa Kihindi hapo.Cheza na hospitali kwa sana na uguza pole.

Dr Hameer yupo vizuri. Arauke alfajiri akitaka kumpata Dr Hameer mwenyewe.
 
nashukuru sana mkuu,ikifika usiku ni tatizo hapumui vizur,kifua kinabana na anakohoa kikohoz kikavu!but mchana asumbui sana!

Nashukuru sana kwa ushaur wako,ngoja nikomae kwanza hapa hospital then nikishndwa huku ntatafta altenative B.

GOD BLESS MY KID!!

Please zingatieni pia usafi wa mtoto anapolala. Inawezekana kuna allergens ambazo zina trivger kukohoa kwake.

Vumbi ni moja wapo ama kutundika minguo mfano mitaulo mliyoogea vyumbani. Ukosefu wa hewa fresh, utumiaji wa perfumes ama spray tofauti mfano za dawa za mbu.

Ila yote haya ni secondary. Doctor kwanza.
 
Pia Mbeya kuna baridi na wengi hutumia mablanketi. kuna mablanketi manyoya yake huleta allergy. Makuku Rey kama mchana au akilala sebuleni hakohoi jaribu kuchange mablanketi. pia inaweza kuwa chandarua etc.
 
nashukuru sana mkuu,ikifika usiku ni tatizo hapumui vizur,kifua kinabana na anakohoa kikohoz kikavu!but mchana asumbui sana!

Nashukuru sana kwa ushaur wako,ngoja nikomae kwanza hapa hospital then nikishndwa huku ntatafta altenative B.

GOD BLESS MY KID!!
kutiririka mafuaa ni kiashiria kikubwa kuwa ni allergy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom