Habari wakuu
Naomba kujua hivi hawa maprofesa wanaofundsha vyuo vya hapa bongo mfano pale udsm,mzumbe,sua,udom wanalipwa shilingi ngapi nataka nihusianishe na mchakato wa upatikanaji wake mana mtu mpaka ukawa profesa siyo mchezo
Nawasilisha

Kama unaujua mchakato wa upatikanaji wa maprofesa nina imani kabisa hata mshahara utakuwa unaujua maana haiwezekani ujue sehemu ngumu then sehemu nyepesi ikushinde
Haya ndiyo mambo ya msingi sana ambayo Wa-Tanzania hushindwa kuwasaidia wenzao. Kijana anauliza anataka kujua. Hii inaweza kuwa changamoto na HAMASA (Inspiration) ili naye aweze kuelekea kwenye hiyo njia (Career path).
JF Imekuwa na msaada mkubwa sana katika kusaidia watu wengi sana wanaotaka kujua mambo mengi sana. Msaidieni huyu kijana anawezakuwa ndiyo Profesa wa KESHO!
Kuna ngazi mbalimbali za uprofesor sasa sijajua wew unazungumzia uprofesa ktk ngazi gan?kuna associate professors,full professor and full bright professor!most of professors in tanzania are associate professors.mishahara ya associate professors ina range from 2millions to 3millions!
Their gross salary is 4.8M for a full prof, but they also get bonus from their administrative(25% of gross salary/month) and research(75%-80% of the whole project) activities!