Habari wana JF,
Nauliza kwa yeyote anayejua contacts au ofisi za kampuni ya mSense networks naomba anisaidie.Nimejaribu kuwatafutia kupitia google nimewakosa,pia website yao bado inatengenezwa.
Natanguliza shukurani za dhati!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums