Ukiskia uchawi na kutaka kujikosesha baraka ktk maisha ndio hii. Umekutana na mtu amekupenda na kukueleza ukweli kwa kua unataka ndoa unakubali then ghafla unabadilika. Hivi ulikubalia nini at first place? Na kitabia hiki wanawake tunacho sana, kama hukujulishwa inaweza leta shida lakini ulijua kila kitu.
Mtoto ana umri gani? Naomba kaa nae ongea nae tu kistaarabu bila jazba aseme kwanini amebadilika gafla na kwa nini alikubali. Ikishindikana jaribu kumtishia kua ndoa itavunjika umuone amesimamia wapi. Ikishindikana kama umri wa mtoto unaruhusu mtafutie shule boarding awe anakuja likizo tu sababu namna hiyo ni hatari kwa mtoto Psychologically.
Alafu hizi one sided story isijekua amefikia uamuzi huo sababu nawe umebadilika na mmekua mnavurugana.
hivi siku zote mtoto wa nje anakuwa na kosa gani? halafu siku hizi umama wa aina hiyo umeshapitwa na wakati bwana, huyo mwanamke wa wapi, hajasoma alama za nyakati tuu. ila pia kuwa makini unaweza kumleta mtoto kama ulivyoshauriwa ukampa mateso makubwa maana muda mwingi atakuwa nae.
mimi ni mpenzi sana wa watoto, sasa natamani sana niishi na watoto wangu wote ila yeye sasa ananiambia hataki!
mimi ni mpenzi sana wa watoto, sasa natamani sana niishi na watoto wangu wote ila yeye sasa ananiambia hataki!
Mtoto ana miaka 7 wala hajawahi kumuona ila anajua yupo ila anaishi na mama yake mkoa mwingine.
Nina mke nilyefunga nae ndoa, kabla ya ndoa nilikuwa na mtoto wa nje ya ndoa! Mke wangu alifahamu kabla sijafunga nae ndoa.. Aliahidi kumpenda lakini baada ya kufunga ndoa amebadilika. ANANIAMBIA HAMPENDI WALA HATAISHI NAE KAMWE JE HUYU MKE NI WA NAMNA GAN? Hata hajawahi kumuona zaidi ya picha!