wana jamvi mnishauri niliwahi kuajiriwa katika wilaya moja hivi serikalini nikaacha kazi kutokana na matatizo yaliyonikabili kipindi hicho ila nikaja kutuma maombi tena nikapata muhimbili na nimesha sain mkataba japo ni permanent sasa tatizo linalonisumbua je payrol haita sumbua ukizingatia nina mwaka jangu nimeacha kule jamani mni shauri tu ilinifanye maamuzi ya busara ahsanteni