msaada msaada

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
514
90
wana jamvi mnishauri niliwahi kuajiriwa katika wilaya moja hivi serikalini nikaacha kazi kutokana na matatizo yaliyonikabili kipindi hicho ila nikaja kutuma maombi tena nikapata muhimbili na nimesha sain mkataba japo ni permanent sasa tatizo linalonisumbua je payrol haita sumbua ukizingatia nina mwaka jangu nimeacha kule jamani mni shauri tu ilinifanye maamuzi ya busara ahsanteni
 
usiogope,ila hakikisha uweumeshasitisha mshahara kule halmashauri.Hapo utapewa check no mpya so payroll haisumbui
zingatia kwamba uliacha kazi umeshapita mwaka automatically utakuwa huna mshahara means umetolewa kwenye payroll,otherwise kama unapata mshahara mpaka leo na wa muhimbili ukapata mwezi ujao wakigundua hazina ni issue ila kama hupati mshahara hamna shida.
 
ahsante kwa ushauri ni kweli mwaka umepita na mshaharj ulishafungwa na walisha pita kuhakiki waliopo kazini pia hawakunikuta kwa taarifa nilizopewa hata slip hazitoki siku hizi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom