nakumbuka nlisha mwamini mtu, nika mkabidhi kitengo cha jiko la chips bar flani mabibo
nikamfanya kama mdogo wangu na pesa yake ya
mshahara sikuwahi kum cheleweshea lakini alikuja akanikimbia na pesa zote!!! sina hamu.
yani wengi wanakuja mikono nyuma lakini wana yao nyuma ya pazia!!!