Kuna Oil za nchi ya baridi mfano Urussi,ukrain,etc na nchi zenye joto mfano nchizi baadhi za ualabuni na huku kwetu.
Pia utofauti mwingine.
Gari za diesel zina Oil yake na gari za petrol zina oil yake.
toyota wana oil zao kwaajili ya magari yao haimaanishi huwezi tumia oil nyingine,ila wao ndio wamekurecomend utumie hiyo kwasababu wao ndio wanajua gari zao zaidi.