Wana jf hapa bukoba barabara zimejaa watu hata magari hayana pa kupita kisa .... Rais wetu slaa na jeshi lake . Watu wamemsubiri uwezi hamini wengi wao. Mwenye simu no. Za pombe ampigie aje apanue haraka barabara ili rais na wanyonge wake waweze kupita
Hao hao unaowabeza ndio CCM iliokuwa inawaita mtaji miezi michache iliyopita pamoja nakuwasababishia maisha ya kila kukicha afadhali ya jana kwa mfumo wao wa kifisadi. Kura Dr Slaa wana Bukoba walimpa ebu rejea majumuisho ya kura zao dhidi ya Jakaya