Tafadhari unaweza ukatufafanulia kidogo hapo kwenye BOLD uhusiano wa HDD na RAM, HDD inahusika vipi na udogo /ukubwa wa RAM?Mkuu hzo huwa Wanaandka Tuu!! nlikua na laptop Lg ukichek Revew Wameandika Max 360 Ila Ikawekwa 500gb !!Ila Sema Huez Weka Space Kubwa Kama Ram Ndogo!! kuhusu Ram Zipo Madukan Muhmu Ww Ujue Pc Yako Ni DDr Ngapi?? 1,2 au 3!! Na Harddisk Skuiz Sio Bei Jarbu Kutupia Hata 360!! mbona Bei Yake Si Ghali Nowdays!!
kuhusu Gharama Kwenye Harddisk Kama Yako Ni Sata Ikiwa 300 gb Mpaka 360 Onategemea Bei Kwa Kila Muuzaj Ila Ni Kuanzia 60 Mpaka 90
ram Pia Hvyo Hvyo Inacheza 25 Mpaka 40!! kutegemea Na Duka Na Muuzaj!!
Tafadhari unaweza ukatufafanulia kidogo hapo kwenye BOLD uhusiano wa HDD na RAM, HDD inahusika vipi na udogo /ukubwa wa RAM?
Kama RAM ni engine na Je CPU? Waswahili bana kila kitu politics.RAM ni injini na HDD ni ukubwa wa bodi. Vipi lnjini ya starlet ikafungwa kwenye fuso? From a layman point of view.
Kama RAM ni engine na Je CPU? Waswahili bana kila kitu politics.
Mkuu hzo huwa Wanaandka Tuu!! nlikua na laptop Lg ukichek Revew Wameandika Max 360 Ila Ikawekwa 500gb !!Ila Sema Huez Weka Space Kubwa Kama Ram Ndogo!! kuhusu Ram Zipo Madukan Muhmu Ww Ujue Pc Yako Ni DDr Ngapi?? 1,2 au 3!! Na Harddisk Skuiz Sio Bei Jarbu Kutupia Hata 360!! mbona Bei Yake Si Ghali Nowdays!!
kuhusu Gharama Kwenye Harddisk Kama Yako Ni Sata Ikiwa 300 gb Mpaka 360 Onategemea Bei Kwa Kila Muuzaj Ila Ni Kuanzia 60 Mpaka 90
ram Pia Hvyo Hvyo Inacheza 25 Mpaka 40!! kutegemea Na Duka Na Muuzaj!!
Mkuu pole sana sikuwa na maana ya kukejeri ila nilikuwa najibu hoja yako "RAM ni injini na HDD ni ukubwa wa bodi. Vipi lnjini ya starlet ikafungwa kwenye fuso? From a layman point of view." Na hiyo CPU RPM or just RPM? hapo sijaelewa pls fafanua kidogo.RAM
CPU
RPM
Vyote hivyo vina-effect performance ya computer. Otherwise mie sijui siasa wala si mtaalamu sana wa kompyuta. Ila tu si vema kukejeli, uliza au jibu au fafanua penye utata. Hii ni JF ambapo hukutana wanaojua na wasiojua, na huu mchanganyiko ndo huifanya JF kuwa yenye kuvutia muda wote.