STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 75
Simu yako ni aina Gani kablabya yote
Picha tafMi nimenunua flat screen ya aborder nikiunganisha internet inaonrkana ipo connected ila haifungui internet nikutumia techno ila nikitumia sumsung inakubali
Mi nimenunua flat screen ya aborder nikiunganisha internet inaonrkana ipo connected ila haifungui internet nikutumia techno ila nikitumia sumsung inakubali
Kwenye tv yako hakuna app ya cast? Ni smart TV?Poleni kwa pilika wakuu.
Nimenunua tlc 32 smart tv... Lengo kubwa ilikuwa niweze kuitumia kwa ajili ya kuangalia mpira kwa kutumia app ya cm... Mwenye ujuzi wa namna ya ku mirror cast naomba anisaidie plz
Kwenye tv yako hakuna app ya cast? Ni smart TV?
Kwenye simu download hii app, ni shortcut ya menu ya MiracastIpo inaitwa t-cast
Kwenye simu download hii app, ni shortcut ya menu ya Miracast
Miracast Screen Sharing/Mirror - Apps on Google Play
Cast your screen to your smart TV or miracast dongle with NO ADS!play.google.com
Kwenye Tcast ifungue utaona option mbali mbali jaribu wifi direct ama wireless mirror ama yoyote ifananiayo.
Kwenye simu fungua hio app itakupeleka setting ya ku cast utaiona tv kisha connect.
Kwenye samsung yako hamna iyo option ya smart view?Inagoma mkuu Chief-mkwawa... Inasearch tu bila mafanikio
Ipo mkuu...Kwenye samsung yako hamna iyo option ya smart view?View attachment 1148605
Vizur sanaNawashukuru wote mlopita katika uzi huu chief-mkwawa, mikumiyetu na heinsenberg hakika mchango wenu ndo umefanya nifanikiwe nlichokitarajia... Now naenjoy tu kuview smartphone on tv... Nice look....
Jamiiforums imejaa watu wenye elimu kubwa sana
Hewaaaa[emoji123][emoji123][emoji123]Nawashukuru wote mlopita katika uzi huu chief-mkwawa, mikumiyetu na heinsenberg hakika mchango wenu ndo umefanya nifanikiwe nlichokitarajia... Now naenjoy tu kuview smartphone on tv... Nice look....
Jamiiforums imejaa watu wenye elimu kubwa sana
Mkuu ungeandika ulichofanya.Nawashukuru wote mlopita katika uzi huu chief-mkwawa, mikumiyetu na heinsenberg hakika mchango wenu ndo umefanya nifanikiwe nlichokitarajia... Now naenjoy tu kuview smartphone on tv... Nice look....
Jamiiforums imejaa watu wenye elimu kubwa sana
Mkuu ungeandika ulichofanya.
Tatizo TecnoMi nimenunua flat screen ya aborder nikiunganisha internet inaonrkana ipo connected ila haifungui internet nikutumia techno ila nikitumia sumsung inakubali
Nimekubali mkuu tatizo ni TechnoTatizo Tecno
Hizo simu ni majanga sema wabongo mnajifanya kichwa ngumuNimekubali mkuu tatizo ni Techno