msaada msaada jamani kuhusu % za haka ka mkopo kangu

kuna mkanganyiko wa hela za field,kama hizi hela zingekuwa the same to all yaani 600,000/=basi una 60%

boom na vitabu ni 1,985,000/=
field 600,000/=then itakayobaki itoe kutoka kwenye ada ujue unapaswa ulipilie ngapi.
 
Wakuu je huu mkopo wangu ni % ngapi 3,343,000 tution fee ni sh 1,263,000 na mwaka wa kwanza cfanyifield
 
Back
Top Bottom